#tunchi Instagram Photos & Videos

tunchi - 18768 posts

Latest Instagram Posts

  • basagamp4 - MP4 JAZZBAND @basagamp4 6 days ago
  • Leo ni siku maalum ya wapendanao 
#VALENTINEDAY💘❤💞
Namaanisha iwe kwa marafiki,wazazi💓,ndugu,jamaa,jirani hata wapenzi💝..... Naomba nitumie siku hii kukwambia kuwa nakupenda na nakuhitaji saaana Mpenzi wangu💓,Mzazimwenzangu❣ na Mke wangu mtarajiwa💟 mama Catherine #Tunchi 
Umekua msaada ktk nyakati tofauti za furaha na huzuni.
Ni Mimi na wewe tu (Ukimtoa MUNGU )ndio tunajua tulikutana wapi tukaongea nini tukakubaliana nini mpaka tumefika hapa Ni miaka kadhaa sasa tumezidi kuwa pamoja tunapendana,kuvumiliana,kuheshimiana,kusaidiana,kufarijiana ,kushauriana,kukoseana na kusameheana pia.
Ni wewe pekee ulienibadilisha jina kutoka kuitwa BENARD,BROWN,BASAGA,MP4,MKONGWE hatimae naitwa #BABATUNCHI👪. Special dedication....
Basaga ft Nuruel -Kifaa (link ktk bio)

TUPO PAMOJA SIO KISA HATUNA MAPUNGUFU....BALI NI KWASABABU TUMEWEZA KUVUMILIANA MAPUNGUFU.
@prisca_kaiza Leo ni siku maalum ya wapendanao #valentineday💘❤💞 Namaanisha iwe kwa marafiki,wazazi💓,ndugu,jamaa,jirani hata wapenzi💝..... Naomba nitumie siku hii kukwambia kuwa nakupenda na nakuhitaji saaana Mpenzi wangu💓,Mzazimwenzangu❣ na Mke wangu mtarajiwa💟 mama Catherine #tunchi Umekua msaada ktk nyakati tofauti za furaha na huzuni. Ni Mimi na wewe tu (Ukimtoa MUNGU )ndio tunajua tulikutana wapi tukaongea nini tukakubaliana nini mpaka tumefika hapa Ni miaka kadhaa sasa tumezidi kuwa pamoja tunapendana,kuvumiliana,kuheshimiana,kusaidiana,kufarijiana ,kushauriana,kukoseana na kusameheana pia. Ni wewe pekee ulienibadilisha jina kutoka kuitwa BENARD,BROWN,BASAGA,MP4,MKONGWE hatimae naitwa #babatunchi👪. Special dedication.... Basaga ft Nuruel -Kifaa (link ktk bio) TUPO PAMOJA SIO KISA HATUNA MAPUNGUFU....BALI NI KWASABABU TUMEWEZA KUVUMILIANA MAPUNGUFU. @prisca_kaiza
  • Leo ni siku maalum ya wapendanao #valentineday💘❤💞 Namaanisha iwe kwa marafiki,wazazi💓,ndugu,jamaa,jirani hata wapenzi💝..... Naomba nitumie siku hii kukwambia kuwa nakupenda na nakuhitaji saaana Mpenzi wangu💓,Mzazimwenzangu❣ na Mke wangu mtarajiwa💟 mama Catherine #tunchi Umekua msaada ktk nyakati tofauti za furaha na huzuni. Ni Mimi na wewe tu (Ukimtoa MUNGU )ndio tunajua tulikutana wapi tukaongea nini tukakubaliana nini mpaka tumefika hapa Ni miaka kadhaa sasa tumezidi kuwa pamoja tunapendana,kuvumiliana,kuheshimiana,kusaidiana,kufarijiana ,kushauriana,kukoseana na kusameheana pia. Ni wewe pekee ulienibadilisha jina kutoka kuitwa BENARD,BROWN,BASAGA,MP4,MKONGWE hatimae naitwa #babatunchi👪. Special dedication.... Basaga ft Nuruel -Kifaa (link ktk bio) TUPO PAMOJA SIO KISA HATUNA MAPUNGUFU....BALI NI KWASABABU TUMEWEZA KUVUMILIANA MAPUNGUFU. @prisca_kaiza
  • 118 6