#thecosbyshow Instagram Photos & Videos

thecosbyshow - 30772 posts

Latest Instagram Posts

  • outclass_international_group - Outclass International Group @outclass_international_group 4 days ago
  • Reposted using @EasyRepost "THE TRUTH ABOUT RELATIONSHIPS..
.
It's give and take ... never keeping score...who did what for who when ...
...
.
Kwenye mahusiano yoyote... haijalishi ni kati yako na mumeo/mkeo ... ni lazima iwe nusu kwa nusu ...utaona jinsi upendo utakavyotokea, kuaminiana kutajengeka ... ni vitu muhimu sana katika mahusiano. Hakuna mtu bora zaidi ya mwingine.
.
.
JAMANI OMBI LANGU...
UKIWA NA WATOTO HAKIKISHA HAWAONI 
1. UNAPOTOFAUTIANA NAE KI MAWAZO
2. UNAPOGOMBANA NAE
3. UNAVYOMDHARAU MWENZAKO 
4. UNAMSEMA VIBAYA

VYOTE HIVI VINAMJENGA MTOTO 
1. AFIKIRIE NGUMI, MATUSI, DHARAU NI SAWA ...ATAANZA KWA RAFIKI ZAKE NA BAADAE NDOANI
2. ATAMCHUKIA YULE ANAEFANYA HIVYO KATI YENU

MKITAKA KUPIGANA/KUSEMANA NENDENI CHUMBANI (Hakikisha kuta nzito haziruhusu sauti kupita) AU NJE YA NYUMBA KABISA -- WASIONE - .
.
Watoto wananiambiaga wanasikia jinsi mkigombana vyumbani, nyie mnafikiria wamelala au hawasikii.
.
.
Swali: kwani lazima tugombane jamani? Life is too short... nitafute tuongee ili TUWAOKOE WATOTO WETU😘 (I am a counselor)

#phyliciarashad #clairhuxtable #thecosbyshow #blackgirlmagic #happyparentshappychildren" by @graceinclimited Reposted using @easyrepost "THE TRUTH ABOUT RELATIONSHIPS.. . It's give and take ... never keeping score...who did what for who when ... ... . Kwenye mahusiano yoyote... haijalishi ni kati yako na mumeo/mkeo ... ni lazima iwe nusu kwa nusu ...utaona jinsi upendo utakavyotokea, kuaminiana kutajengeka ... ni vitu muhimu sana katika mahusiano. Hakuna mtu bora zaidi ya mwingine. . . JAMANI OMBI LANGU... UKIWA NA WATOTO HAKIKISHA HAWAONI 1. UNAPOTOFAUTIANA NAE KI MAWAZO 2. UNAPOGOMBANA NAE 3. UNAVYOMDHARAU MWENZAKO 4. UNAMSEMA VIBAYA VYOTE HIVI VINAMJENGA MTOTO 1. AFIKIRIE NGUMI, MATUSI, DHARAU NI SAWA ...ATAANZA KWA RAFIKI ZAKE NA BAADAE NDOANI 2. ATAMCHUKIA YULE ANAEFANYA HIVYO KATI YENU MKITAKA KUPIGANA/KUSEMANA NENDENI CHUMBANI (Hakikisha kuta nzito haziruhusu sauti kupita) AU NJE YA NYUMBA KABISA -- WASIONE - . . Watoto wananiambiaga wanasikia jinsi mkigombana vyumbani, nyie mnafikiria wamelala au hawasikii. . . Swali: kwani lazima tugombane jamani? Life is too short... nitafute tuongee ili TUWAOKOE WATOTO WETU😘 (I am a counselor) #phyliciarashad #clairhuxtable #thecosbyshow #blackgirlmagic #happyparentshappychildren" by @graceinclimited
  • Reposted using @easyrepost "THE TRUTH ABOUT RELATIONSHIPS.. . It's give and take ... never keeping score...who did what for who when ... ... . Kwenye mahusiano yoyote... haijalishi ni kati yako na mumeo/mkeo ... ni lazima iwe nusu kwa nusu ...utaona jinsi upendo utakavyotokea, kuaminiana kutajengeka ... ni vitu muhimu sana katika mahusiano. Hakuna mtu bora zaidi ya mwingine. . . JAMANI OMBI LANGU... UKIWA NA WATOTO HAKIKISHA HAWAONI 1. UNAPOTOFAUTIANA NAE KI MAWAZO 2. UNAPOGOMBANA NAE 3. UNAVYOMDHARAU MWENZAKO 4. UNAMSEMA VIBAYA VYOTE HIVI VINAMJENGA MTOTO 1. AFIKIRIE NGUMI, MATUSI, DHARAU NI SAWA ...ATAANZA KWA RAFIKI ZAKE NA BAADAE NDOANI 2. ATAMCHUKIA YULE ANAEFANYA HIVYO KATI YENU MKITAKA KUPIGANA/KUSEMANA NENDENI CHUMBANI (Hakikisha kuta nzito haziruhusu sauti kupita) AU NJE YA NYUMBA KABISA -- WASIONE - . . Watoto wananiambiaga wanasikia jinsi mkigombana vyumbani, nyie mnafikiria wamelala au hawasikii. . . Swali: kwani lazima tugombane jamani? Life is too short... nitafute tuongee ili TUWAOKOE WATOTO WETU😘 (I am a counselor) #phyliciarashad #clairhuxtable #thecosbyshow #blackgirlmagic #happyparentshappychildren" by @graceinclimited
  • 20 2