#olegunnarsolskjaer Instagram Photos & Videos

olegunnarsolskjaer - 30405 posts

Latest Instagram Posts

  • simulizinasauti - Simulizi na Sauti @simulizinasauti 3 hours ago
  • #SNSSports: Kocha wa Manchester United, #OleGunnarSolskjaer, ameweka wazi imani yake kwa wababe wa Hispania, #Barcelona, kuwa ndio watakaobeba taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu.

Kauli hiyo ya #Solskjaer, imekuja baada ya kushuhudia timu yake ya Man Utd iking’olewa na #Barcelona kwenye robo fainali, kufuatia kichapo cha mabao 3-0.

Baada ya kumalizika kwa mchezo wa juzi, kocha huyo aliulizwa nafasi ya Barcelona kwenye michuano hiyo anaionaje? Alijibu: “Ninaamini Barcelona wana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa.

_“Kwa kiwango walichonacho na wachezaji wa mbele kama Ousmane  Dembele na Malcom, ni wachezaji wa kuwafikisha mbali,” aliongeza kocha huyo.

Cc @omaryramsey ✏

#snssports ⚽⚽ #snssports: Kocha wa Manchester United, #olegunnarsolskjaer, ameweka wazi imani yake kwa wababe wa Hispania, #barcelona, kuwa ndio watakaobeba taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu. Kauli hiyo ya #solskjaer, imekuja baada ya kushuhudia timu yake ya Man Utd iking’olewa na #barcelona kwenye robo fainali, kufuatia kichapo cha mabao 3-0. Baada ya kumalizika kwa mchezo wa juzi, kocha huyo aliulizwa nafasi ya Barcelona kwenye michuano hiyo anaionaje? Alijibu: “Ninaamini Barcelona wana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa. _“Kwa kiwango walichonacho na wachezaji wa mbele kama Ousmane  Dembele na Malcom, ni wachezaji wa kuwafikisha mbali,” aliongeza kocha huyo. Cc @omaryramsey#snssports ⚽⚽
  • #snssports: Kocha wa Manchester United, #olegunnarsolskjaer, ameweka wazi imani yake kwa wababe wa Hispania, #barcelona, kuwa ndio watakaobeba taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu. Kauli hiyo ya #solskjaer, imekuja baada ya kushuhudia timu yake ya Man Utd iking’olewa na #barcelona kwenye robo fainali, kufuatia kichapo cha mabao 3-0. Baada ya kumalizika kwa mchezo wa juzi, kocha huyo aliulizwa nafasi ya Barcelona kwenye michuano hiyo anaionaje? Alijibu: “Ninaamini Barcelona wana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa. _“Kwa kiwango walichonacho na wachezaji wa mbele kama Ousmane  Dembele na Malcom, ni wachezaji wa kuwafikisha mbali,” aliongeza kocha huyo. Cc @omaryramsey#snssports ⚽⚽
  • 77 3