#ngoma Instagram Photos & Videos

ngoma - 6091 posts

Latest Instagram Posts

  • dizzimonline - Dizzim Online @dizzimonline 1 day ago
  • #DizzimUpdates:MBOSSO THE BREATH OF FRESH AIR IN TANZANIA! “anipelekesha - mzobe_mzobe!,
kama FUSO lapanda mlima!.
Na nilivyofundi kuchelewesha - Kobe_Kobe!,
Sim-pi dozi nzima-nzima!” Sio maneno yangu hayo bali ni maneno ya #mhindi mweusi huyu hapa kutoka WCB™ anayefahamika kwa jina la @mbosso_khan kutoka kwenye “NEW RELEASE” yake inayokwenda kwa jina la #TAMU.

Sababu ambayo imenipelekea kusema kwamba huyu kijana ni “BREATH OF THE FRESH AIR!”, kwa nchi nzima ya Tanzania, ni Matumizi ya maneno ya kiswahili na #misemo ndani ya #tungo zake na kubwa zaidi kuliko hata hilo, ni JITIHADA ambazo anafanya kila siku za KUITANGAZA TANZANIA na VIVUTIO MAHIRI vilivyomo ndani yake.

Hii sio mara ya kwanza kwa @mbosso_ ku-shoot video za #muziki wake zenye kuonyesha #mazingira mazuri yaliyopo #tanzania na yenye kuonyesha sehemu #malidhawa zenye kuvutia #wageni na #wenyeji pia.

Video ya #ngoma yake ya #TAMU ina picha nyongefu zinazo onyesha maeneo mbali-mbali mkoani #MBEYA kama: • UTENGULE - COFFEE LODGE
Hii ni sehemu ya kupumzika wageni na watalii yenye hadhi ya kisasa kabisa na iliyo zungukwa na shamba kubwa la #kahawa lenye kuvutia sana na kutokana na BARIDI iliyopo hapo basi wageni hujipatia KAHAWA PURE kabisa ambayo inawaongezea JOTO mwili huku wakila maisha.............(inaendelea Part 2) #dizzimupdates:MBOSSO THE BREATH OF FRESH AIR IN TANZANIA! “anipelekesha - mzobe_mzobe!, kama FUSO lapanda mlima!. Na nilivyofundi kuchelewesha - Kobe_Kobe!, Sim-pi dozi nzima-nzima!” Sio maneno yangu hayo bali ni maneno ya #mhindi mweusi huyu hapa kutoka WCB™ anayefahamika kwa jina la @mbosso_khan kutoka kwenye “NEW RELEASE” yake inayokwenda kwa jina la #tamu. Sababu ambayo imenipelekea kusema kwamba huyu kijana ni “BREATH OF THE FRESH AIR!”, kwa nchi nzima ya Tanzania, ni Matumizi ya maneno ya kiswahili na #misemo ndani ya #tungo zake na kubwa zaidi kuliko hata hilo, ni JITIHADA ambazo anafanya kila siku za KUITANGAZA TANZANIA na VIVUTIO MAHIRI vilivyomo ndani yake. Hii sio mara ya kwanza kwa @mbosso_ ku-shoot video za #muziki wake zenye kuonyesha #mazingira mazuri yaliyopo #tanzania na yenye kuonyesha sehemu #malidhawa zenye kuvutia #wageni na #wenyeji pia. Video ya #ngoma yake ya #tamu ina picha nyongefu zinazo onyesha maeneo mbali-mbali mkoani #mbeya kama: • UTENGULE - COFFEE LODGE Hii ni sehemu ya kupumzika wageni na watalii yenye hadhi ya kisasa kabisa na iliyo zungukwa na shamba kubwa la #kahawa lenye kuvutia sana na kutokana na BARIDI iliyopo hapo basi wageni hujipatia KAHAWA PURE kabisa ambayo inawaongezea JOTO mwili huku wakila maisha.............(inaendelea Part 2)
  • #dizzimupdates:MBOSSO THE BREATH OF FRESH AIR IN TANZANIA! “anipelekesha - mzobe_mzobe!, kama FUSO lapanda mlima!. Na nilivyofundi kuchelewesha - Kobe_Kobe!, Sim-pi dozi nzima-nzima!” Sio maneno yangu hayo bali ni maneno ya #mhindi mweusi huyu hapa kutoka WCB™ anayefahamika kwa jina la @mbosso_khan kutoka kwenye “NEW RELEASE” yake inayokwenda kwa jina la #tamu. Sababu ambayo imenipelekea kusema kwamba huyu kijana ni “BREATH OF THE FRESH AIR!”, kwa nchi nzima ya Tanzania, ni Matumizi ya maneno ya kiswahili na #misemo ndani ya #tungo zake na kubwa zaidi kuliko hata hilo, ni JITIHADA ambazo anafanya kila siku za KUITANGAZA TANZANIA na VIVUTIO MAHIRI vilivyomo ndani yake. Hii sio mara ya kwanza kwa @mbosso_ ku-shoot video za #muziki wake zenye kuonyesha #mazingira mazuri yaliyopo #tanzania na yenye kuonyesha sehemu #malidhawa zenye kuvutia #wageni na #wenyeji pia. Video ya #ngoma yake ya #tamu ina picha nyongefu zinazo onyesha maeneo mbali-mbali mkoani #mbeya kama: • UTENGULE - COFFEE LODGE Hii ni sehemu ya kupumzika wageni na watalii yenye hadhi ya kisasa kabisa na iliyo zungukwa na shamba kubwa la #kahawa lenye kuvutia sana na kutokana na BARIDI iliyopo hapo basi wageni hujipatia KAHAWA PURE kabisa ambayo inawaongezea JOTO mwili huku wakila maisha.............(inaendelea Part 2)
  • 1031 6